MAFUNZO YA GRAPHIC DESIGN KUPITIA ADOBE PHOTOSHOP
Nakukaribisha sana katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop kwa ajili ya Beginner au yeyote anayeanza kabisa kujifunza Graphics Design. Utajifunza mengi sana katika Program hii ambapo uytajifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop kuanzia mwanzo mpaka mwisho a baada ya mafunzo haya utakuwa na uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama Designer ndani ya Adobe Photoshop Interface.
Adobe Photoshop ni software Mama kwa Designer wengi kama Graphics Designer, 3D artist, Motion Designer, Web designer, Photographer, Videographer n.k Hivyo ni muhimu sana kujifunza Software hii kama unategemea kuingia katika tasnia ya Ubunifu wa kidijitali basi sehemu hii ni sahihi kwako .
Mambo utakayojifunza katika Kozi hii ya Adobe Photoshop ni
- Utajifunza tools zote za Adobe Photoshop
- Kuedit picha mbalimbali
- Kutengeneza project Mbalimbali
- Kutengeneza Mockups mbalimbali
Yaliyomo
Utangulizi
1. Utangulizi wa Mafunzo ya Adobe Photoshop
2. Computer ya Graphics
- Sifa za computer ya kufanyia Kazi kwa kutumia software ya Adobe Photoshop
- Ifahamu Interface ya Adobe Photoshop sehemu ya kwanza
- AdobePhotoshop Shotcut
- Jinsi ya kubadili colour mode RGB & CMYK 8bit, 32bit 16bit, autotune.
- Layers submenu (Window- character, properties)
3. SELECTION NA KUBADILI BACKGROUND YA PICHA.
- Utangulizi na kuhusu selection tools
- Marquee tools
- Lazor tools
- Quick selection tools.
- Object selection tool
- Magic wand tool
- Eraser tool
- Tools zingine.
4. TEXTS SHAPES & BRUSHES
- Text and pen tools
- Jinsi ya kufanya layer Transformation
- Create artboards and groups in Photoshop
5. LAYER MASK, BLENDING MODE AND BLENDING OPTION.
- Blending mode katika Adobe Photoshop
- Ifahamu layer mask ndani ya Photoshop
- Fahamu blending option ndani ya Adobe Photoshop.
- Smart object Layers.
6. ADJUSTMENT LAYERS.
- Adjustment layer
- Brightness and contrast
- Levels
- Curves
- Vibrance and Saturation
- Hue and Saturation
- Solid, Gradient, Threshold
- Type Pannel.
- Select panel
7. FILTERS
- Filters
- Filter galley
- Adaptive wide angle
- Camera Raw Filter
- Lens correction
- Liquify filter
- Noise Filter, Pixrates filter, Render Filter
- Blur filter
- Distort filters Advanced Blur and Distort Project.
- Advanced Blur and Distort project
8. SKY REPLACEMENT & CLIPPING MASK
- Jinsi ya kufanya Sky Replacement
- Fahamu kuhusu Clipping mask
9. THREE DIMENSION
- Utangulizi wa 3 Dimension
- Fahamu matumizi ya 3D
10. MOCKUP DESIGN
- Jinsi ya kumockup screen ya Computer
- Mockup up Tshirt Logo.
11. PROJECT DESIGN
- Mambo ya kuzingatia wakati wa kufanya Design
- Jinzi ya Kudesign Poster
- Design photo collage.
12. FREQUENCY SEPERATION/ PHOTOGRAPHY RETOUCH
- Photography Retouch sehemu ya kwanza
- Photography Retouch sehemu ya pili