HUDUMA TUNAZOTOA
Website Design
Tunatoa huduma za kutengeneza website za aina mbalimbali kama vile E-commerce website, blogs, tour websites, business, personal website, NGO's website karibu sana.
Graphics Design
Tunatoa huduma za kufanya graphics design za aina mbalimbali kama vile logo, business cards, Comapany profile, Proposal design, flyers, posters n.k karibu sana tufanye kazi.
Branding Service
Tunatoa huduma ya full branding kwa makampuni, taasisi, biashara na watu binafsi, karibu sana tunafanya full branding kitaalamu na inayoendana na wakati.
Social Media Marketing
Tunatoa huduma ya kutangaza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii ili kuwafikia watu wengi zaidi kama vile facebook, Instagram n.k ili kuwafikia wateja wako unaowahitaji.
Printing Service
Tunatoa huduma ya kufanya printing ya vitu mbalimbali kama vile vipeperushi, mabango, T-shirts, kadi, vyeti, kutoa copy, vitambulisho, banners, na stickers tunafanya karibu.
Delivery Service
Kwa waliopo mikoani, na ni nje ya wilaya tunatoa huduma ya kuagiziwa mzingo kwa utaratibu maalumu mpaka mzigo wako unakufikia bila shida yoyote.
Picha na video
Tunatoa huduma za upigaji picha na video kwaajili ya sherehe, matukio na mambo binafsi, karibu sana tufanye kazi zenye ubora wa hali ya juu na zenye mvuto.
Nunua Bidhaa
Tunauza bidhaa mbalimbali kwa bei ya jumla na rejareja kama vile kompyuta, Printers, Camera, stationary, simu, vifaa vya kompyuta, vifaa vya simu na vifaa vya mashuleni.
Mafunzo ya ICT
Tunatoa mafunzo ya kozi mbalimbali mtandaoni kama vile Graphics design, motion design, video Editing, website designs na softwares zingine kwa njia ya online.
ONLINE SERVICES
Tunatoa huduma za kitaalamu za maombi ya mtandaoni, ikiwemo maombi ya vyuo vya ndani na nje ya nchi, maombi ya ajira kupitia mifumo rasmi kama Ajira Portal, usajili wa TIN Number kwa watu binafsi na kampuni, maombi ya leseni za biashara kwa sekta mbalimbali, pamoja na huduma za mifumo ya serikali kama ESS Utumishi na nyinginezo. Huduma hizi zinatolewa kwa ufanisi, weledi, na kwa kuzingatia mahitaji ya mteja.