KOZI ZILIZOPO
ADOBE PHOTOSHOP COURSE
Nakukaribisha sana katika mafunzo haya ya Adobe Photoshop kwa ajili ya Beginner au yeyote anayeanza kabisa kujifunza Graphics Design. Utajifunza mengi sana katika Program hii ambapo uytajifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop kuanzia mwanzo mpaka mwisho a baada ya mafunzo haya utakuwa na uwezo wa kufanya mambo mbalimbali kama Designer ndani ya Adobe Photoshop Interface.