Adobe InDesign ni software inayotumika kufanyia Layout Design kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Duniani kote na ni industry standard software kwa kufanya Magazine/Majarida design, Newspaper/Magazeti Design, Brochure/Vipeperushi Mkunjo design, Books design, Book cover design, Calendar design, Reports templates design n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana. Mafunzo haya ya Layout Design Kwa kutumia Adobe InDesign kwanza nimefundisha namna ya kutumia tools zote.
Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe InDesign, Jinsi ya kutumia Advanced features za Adobe InDesign, Jinsi ya kufanya design ya Books, Jinsi ya kudesign Book Cover, Jinsi ya kudesign brochure/Vipeperushi mkunjo n.k. na mbinu mbalimbali za kufanya designing kwenye Adobe InDesign.
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe InDesign, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 30,000/= kwenda kwenda M-PESA Namba: 0757502706
Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 674941654