Products Label ni Lebo za bidhaa kwa kiswahili, hizi ni vibandiko ambavyo vinakaa kwenye bidhaa mbalimbali ambazo zinakuwa na maelezo ya bidhaa husika, viambata ambavyo vimetengenezewa bidhaa, tarehe au mwaka wa kutengenezwa kwake na ku-expire kwake, logo au jina la kampuni inayozalisha, mawasiliano na location n.k Kuna Aina nyingi sana za Lebo za bidhaa ambazo zipo za plastics products, bidhaa za viroba, bidhaa za makopo, mifuko, n.k

Katika Mafunzo haya nimefundisha namna ya kudesign products Labels au lebo za bidhaa za aina mbalimbali pamoja na vipimo stahiki kwa aina mbalimbali mbalimbali za bidhaa ambazo zimatumika zaidi. Lebo za bidhaa zina soko kubwa sana ukiweza kumaster kudesign kwahiyo Karibu sana ujiunge na mafunzo haya uchote ujuzi wa kufanya products Labels design.

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya labels mbalimbali za bidhaa, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za Label za bidhaa, na ku-export products labels zako Kwaajili ya kuprint.

Karibu Katika Mafunzo Products Labels design kwa kutumia Adobe Illustrator

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts