Photo Retouching ni sanaa ya kurekebisha picha ili iwe na muonekano mzuri Kwaajili ya matumizi ya kuprint au kutumia mtandaoni. Photo Retouching inahusiana na kuondoa madoa kwenye ngozi, kuondoa nywele zilizokuja kwenye ngozi, kuongeza mwanga, kung’arisha meno, lips za mdomo, macho n.k.

Katika Mafunzo haya nimefundisha namna ya kufanya skin Retouching kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kuondoa madoa kwenye ngozi, kuongeza mwanga, kung’arisha meno na macho, Kuongeza mng’ao wa lips n.k

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kufanya skin Retouching kama professional na uzuri utapatiwa picha zote ambazo zimetumika kufundishia pamoja na website za kupata picha za mazoezi.

Karibu Katika Mafunzo Skin Retouching kwa kutumia Adobe Photoshop

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 25,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts