Flyer Design, flyer ni kipeperushi kwa kiswahili, ambavyo vinatumika Kwaajili ya kuprint au kwa matumizi ya online na mara nyingi zinakuwa na ukubwa tofauti tofauti kutegemea na uhitaji wa muhusika.
Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya flyers/Vipeperushi, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za flyers/Vipeperushi, utapewa resources za kutumia wakati unadesign n.k, na ku-export flyers au Vipeperushi vyako Kwaajili ya kuprint.
Karibu Katika Mafunzo Flyer au Vipeperushi design kwa kutumia Adobe Photoshop,
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA Namba: 0757502706
Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 674941654