Brochure ni kipeperushi ambacho kinakuwa na pande mbili, tatu, nne, sita au nane kutegemea na muundo ambao anahitaji muhusika lakini maarufu zaidi ni Vipeperushi mkunjo vya pande tatu (Trifold brochure). Vipeperushi mkunjo hutumika kutangaza bidhaa, kampuni, events au elimu kuhusu jambo fulani ambalo wahusika wanalikusudia.

Karibu Katika Mafunzo haya ya Brochure design kwa kutumia program ya Adobe Illustrator kuanzia mwanzo hadi Mwisho.

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya brochure za aina mbalimbali, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za brochure au Vipeperushi mkunjo, na ku-export brochure au Vipeperushi mkunjo yako Kwaajili ya kuprint.

Karibu Katika Mafunzo brochure design design kwa kutumia Adobe Illustrator

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 22,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts