Banners ni mfumo wa Mabango pia ambayo yanakuwa katika vipimo tofautiii tofautiii yanayotumika mtandaoni au yanaweza kuwa printed na kubandikwa sehemu mbalimbali. Banners zipo za aina nyingi sana Kuna banners zinazowekwa kwenye website Kwaajili ya kutangaza huduma fulani, kuna banners zinazoprintiwa na kubandikwa barabarani, kuna zinazowekwa maofisini au kwenye maonyesho, kuna zinazowekwa kwenye magari, mitaani n.k.

Katika Mafunzo haya nimefundisha namna ya kufanya designing za aina mbalimbali za banners kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho.

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya Banners,, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za banners, na ku-export Kwaajili ya matumizi yako kama mtandaoni na kuprint .

Karibu Katika Mafunzo banners design kwa kutumia Adobe Illustrator

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts