Adobe Audition ni software inayotumika kufanyia sound recording and Editing kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Zaidi Duniani kote na ni industry standard software kwa kurekodi sauti, Kuedit sauti, kuondoa background noise kwenye sauti, kuongeza au kupunguza sauti, kuongeza ubora wa sauti, kifanyia DJ Drop n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana kwa mambo ya sauti.

Mafunzo haya ya Audio Recording & Editing Kwa kutumia Adobe Audition kwanza nimefundisha namna ya kutumia tools zote. Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe Audition, Jinsi ya kuunganisha Adobe audition na microphone, jinsi ya kurekodi,, Jinsi ya kufanya kutumia effects kurekebisha sauti, Jinsi ya kuondoa background noise, Jinsi ya Kuongeza sauti, jinsi ya kupunguza sauti, jinsi ya kufanya slow motion, jinsi ya ku-extend Audio kwenye kompyuta, Jinsi ya kutumia features za ndani kwenye Adobe Audition na mbinu mbalimbali za kufanya Audio Editing.

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe Audition, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts