Adobe After Effects ni software inayotumika kudesign Motion videos , anaimations, visual effects (VFX) na 3Ds kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Zaidi Duniani kote na ni industry standard software kwa kufanya Motion design Videos, animations, VFX n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana.

Mafunzo haya ya Motion design videos Kwa kutumia Adobe After Effects kwanza nimefundisha kila kitu unachohitaji kumfahamu kwenye Adobe After Effects. Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe After Effects, Jinsi ya kufanya kutumia features za Adobe After Effects, Jinsi ya kutumia 3Ds features, Jinsi ya kutumia ya kufanya Animations, jinsi ya kuondoa Green screen, Jinsi ya kutumia internal & external expressions, kutumia texts anaimations presets, Jinsi ya kutumia features za ndani kwenye Adobe After Effects na mbinu mbalimbali za kufanya Motion design videos, pamoja na kuandaa sample Videos za matangazo na sauti.

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe After Effects, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 30,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654

Similar Posts