Adobe Photoshop ni software inayotumika kufanyia Photo Editing na Graphics Design kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Zaidi Duniani kote.

Na ni industry standard software kwa kufanya Photo Retouching, Photo Restoration, Product Retouching, Photo Composition, Posters /Mabango design, flyers design, website templates design, mobile Application n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana . Lakini katika Mafunzo haya ya nimefundisha Graphics Design Kwa kutumia Adobe Photoshop kwanza nimefundisha namna ya kutumia tools zote.

Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe Photoshop, Jinsi ya kufanya designing mbalimbali kama vile Jinsi ya kudesign business cards, kudesign posters, kudesign Flyers, n.k, mbinu mbalimbali za kufanya Designing n.k

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe Photoshop, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza.

Hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA  Namba: 0757502706

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

WhatsApp yangu+255 674941654.

 

Similar Posts