Canva ni online software inayotumika kufanyia Graphics Design na Video Editing kwenye kompyuta na Simu Lakini pia ina design ambazo zimeshaandaliwa Tayari na unaweza Kuedit na kuzitumia.
Ni program inayotumika Duniani kote na ni industry standard software kwa
- kufanya Designing za Kadi za mwaliko, Posters , Flyers, Business cards, Video Editing, calendar n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana.
- Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia program hii, Jinsi ya kutumia Advanced features za Canva, Jinsi ya kufanya design ya kadi za mwaliko, Jinsi ya kudesign posters,.
- Jinsi ya kudesign brochure/Vipeperushi mkunjo, Jinsi ya Kuedit video n.k. na mbinu mbalimbali za kufanya designing kwenye Canva.
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda kwenda M-PESA Namba: 0757502706
Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 674941654