Adobe Illustrator ni software inayotumika kufanyia Graphics Design kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Zaidi Duniani kote na ni industry standard software kwa Kudesign Logo, business cards, company profile, Vipeperushi, Brochure, Mabango/posters, Vitambulisho/ID cards n.k katika ubora wa hali ya juu sana.
Ni software nzuri sana kudesign kazi tajwa happ juu Kwaajili ya kufanya printing. Mafunzo haya ya Graphics Design Kwa kutumia Adobe Illustrator kwanza nimefundisha namna ya kutumia tools zote.
Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe Illustrator,
- Jinsi ya kudesign,
- Jinsi ya kudesign Vipeperushi/flyers,
- Jinsi ya kudesign business cards,
- Kudesign posters, Kudesign company profile,
- Jinsi ya kuandaa Brochure,
- Jinsi ya kudesign LOGO,
- Jinsi ya kutumia features za ndani kwenye Adobe Illustrator na
- Mbinu mbalimbali za kufanya design.
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe Illustrator, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza.
Hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 25,000/= kwenda M-PESA Namba: 0757502706
Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 674941654.