Adobe Premiere pro ni software inayotumika kufanyia Video Editing kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Zaidi Duniani kote na ni industry standard software kwa Kuedit Video.

Mafunzo haya ya Video Editing Kwa kutumia Adobe Premiere Pro nimefundisha namna ya kutumia program hii kuanzia mwanzo hadi Mwisho namna ya kuitumia software hii Kuedit Videos.

Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe premiere pro, Jinsi ya kutumia transitions, Jinsi ya kufanya Crawling Credit, Rolling texts, jinsi ya kuficha vitu, jinsi ya kutumia Masks, Jinsi ya Kuedit Audio/sauti/sounds, Jinsi ya kufanya Color Grading na color corrections na kupanga timeline yako kwenye Video wakati unaedit, mbinu mbalimbali za Video Editing n.k.

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe premiere pro,

resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo ya Tsh 25,000/= kwenda M-PESA  Namba: 0757502706   

Jina: COSTEIJEN SAMWEL JOHN  ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hii ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

Please enable JavaScript in your browser to complete this form.

Similar Posts